Exodus 29:7-9

7 aChukua yale mafuta ya upako umimine juu ya kichwa chake. 8 bWalete wanawe na uwavike makoti, 9 cpia uwavike zile tepe za kichwani. Ndipo uwafunge Haruni na wanawe mishipi. Ukuhani ni wao kwa agizo la kudumu. Kwa njia hii utamweka wakfu Haruni na wanawe.

Copyright information for SwhKC